Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Wewe nenda kalime mpunga huko Simiyu. Acha kuongopea watu kuwa wewe ni polisi. Kujipendekeza kwa jiwe kutawagharimu. Hata kama ungekuwa una mamlaka ya kuzuia mapokezi ya mpendwa wetu, ungeyazuia kwa sababu gani? Ni kosa watu kumpokea mpendwa wao? Acha kujitoa ufahamu.
 
The army can’t defeat people ndugu. Huwezi vunja miguu au kupiga risasi watu 2000. Hakuna anayeweza kufanya hivyo na hata waliojaribu hawakufanikiwa
Mkuu Wewe kawadanganye vijana wenzako waandamane kesho,harafu jumanne watakupeni mrejesho nini kimewakuta
 
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.
Kaulize us wale walioandamana nini kimekuta,si huwa mnasema us ni baba wa demokrasia
 
Mkuu Wewe kawadanganye vijana wenzako waandamane kesho,harafu jumanne watakupeni mrejesho nini kimewakuta
Nakwambia kila siku sio jumapili. Mmepigwa upofu hadi mmeshindwa kusoma Majira. Kwa taarifa yako International Media zina fanya live coverage ya tukio la Lissu Kesho. Kwa upande mwingine kuna barua kwa wakuu wa vyombo iliyokuwa copied kwa wakubwa wa umoja wa mataifa.

Nyie ingieni mkenge tu iyo kesho na polisi wenu muanze kupiga watu alafu muone nchi yetu mtaiweka wapi.

Kwa kifupi Lissu kajipanga, inahitaji akili zaidi kukabiliana nae la sivyo mwaka huu wakuu wotewa vyombo vya ulinzi na usalama na boss wao watatolewa arrest warrant na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
 
Wewe nenda kalime mpunga huko Simiyu. Acha kuongopea watu kuwa wewe ni polisi. Kujipendekeza kwa jiwe kutawagharimu. Hata kama ungekuwa una mamlaka ya kuzuia mapokezi ya mpendwa wetu, ungeyazuia kwa sababu gani? Ni kosa watu kumpokea mpendwa wao? Acha kujitoa ufahamu.
Wewe endelea kuota,undhani wote waliomo humu ni wakulima wa simiyu? ,sina muda wa kukuaminisha Mimi ni nani na sihitaji unijue,ila jichanganyeni kesho ndo mtakijua kilichomzui kuku kukojoa
 
Nakwambia kila siku sio jumapili. Mmepigwa upofu hadi mmeshindwa kusoma Majira. Kwa taarifa yako International Media zina fanya live coverage ya tukio la Lissu Kesho. Kwa upande mwingine kuna barua kwa wakuu wa vyombo iliyokuwa copied kwa wakubwa wa umoja wa mataifa.

Nyie ingieni mkenge tu iyo kesho na polisi wenu muanze kupiga watu alafu muone nchi yetu mtaiweka wapi.

Kwa kifupi Lissu kajipanga, inahitaji akili zaidi kukabiliana nae la sivyo mwaka huu wakuu wotewa vyombo vya ulinzi na usalama na boss wao watatolewa arrest warrant na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Tatizo wafuasi wa chadema huwa nadhindwa kuelewa ilimu zenu ni za kiwango gani,unajua màana ya neno Tanzania is a sovereignty state,?
 
Hapana tunawakanya kama tulivyowakanya kwenye maandamano ya Katafunua, Mange 77Nyeupe na Mkatuelewa.
Lisu ana haki zake tulizeni mshono kwani mkituua nyie mtaishi milele? Ndo maana babu yangu alniambia polsi na mbwa tofauti yao ndogo sana, na ni wachache sana wanojielewa.
 
Hatuwezi kushudia barabara muhimu ya Nyerere kufungwa eti kisa wahuni.
 
Mbona unakuwa na kichwa kigumu kuelewa? Hawaandamani bali wanampokea mpendwa wao. Au siku hizi ni kosa kumpokea mpendwa wako?
Hakutakuwa na mikusanyiko yoyote,msubirini huyo mhuni wenu afike nyumbani mkamsalimie kwake sio kufanya mikusanyiko iliyopigwa marufuku,nawambia kesho maji mtayaita mma.

Eti lissu ,mtu mmoja hawezi leta karaha kwa raia milioni 50,tena ole wenu na huo waraka wenu sijui wa umoja wa mataifa au umoja wa facebook
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi

Kama hukuwa umemalizia risasi kwenye lile shambulio la mwanzo, uje umalizie zilizobaki. Zikiisha utapewa kituo chochote cha polisi kilicho karibu.
 
Hakutakuwa na mikusanyiko yoyote,msubirini huyo mhuni wenu afike nyumbani mkamsalimie kwake sio kufanya mikusanyiko iliyopigwa marufuku,nawambia kesho maji mtayaita mma.

Eti lissu ,mtu mmoja hawezi leta karaha kwa raia milioni 50,tena ole wenu na huo waraka wenu sijui wa umoja wa mataifa au umoja wa facebook
Hii nchi sio ya baba ako. Angalia usije ukaishia pabaya.
 
Back
Top Bottom