Wamechanganyikiwa!!Acha upotoshaji wewe. Kumpokea mpendwa wetu kuna husiana vipi na msiba? Wewe hujawahi kumpokea mpendwa wako airport? Acha mikwara mbuzi.
The army can’t defeat people ndugu. Huwezi vunja miguu au kupiga risasi watu 2000. Hakuna anayeweza kufanya hivyo na hata waliojaribu hawakufanikiwaNatamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa
Sipendi upuuzi mimi
Hawaamini macho yao. Upepo wote upo kwa Lissu. WamechanganyikiwaAchen kulilia kila mtu ashinde mechi zake
Ni aibu kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi kutumia SILAHA ZA KIVITA kushambulia raia wake MCHANA KWEUPE, eti kwa kuwa tu amewazidi hoja. Ni aibu na fedheha kubwa sana.Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa
Sipendi upuuzi mimi
hacha asira mkuuTukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.
Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.
Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.
Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Ungemsaidia marehemu Mkapa alipokuwa anapigania uhai wake ukivunje miguu kifo ingekuwa msaada mkubwa sanaItabidi niwasaidie polisi kesho.