Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.
Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.
Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.
Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.