Ole wako!

labda kama ni wale wenzetu wa kongo ila kama ni mtoto kweli haipendezi kuwatumia kwa njia isiyofaa kama hiyo ya kuwawekea maneno ya kikubwa na yasiyofaa kama hayo juu tena ikionyeshwa kuwa yeye ndiye msemaji!
 
sasa akikua mkubwa afu akawa kweli hvyo...
 
labda kama ni wale wenzetu wa kongo ila kama ni mtoto kweli haipendezi kuwatumia kwa njia isiyofaa kama hiyo ya kuwawekea maneno ya kikubwa na yasiyofaa kama hayo juu tena ikionyeshwa kuwa yeye ndiye msemaji!
sio mtoto huyo mkuu mcheki vizuri kabisa kwa utulivu mwanana utagundua kuwa ni mkubwa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…