Hahaaaa umenikumbusha mbali sana kuna moja kali ilitokea jamaa wana pesa za ushehe wakajenga hekalu lao na kufunga camera ndani na nje ya nyumba yao sasa wakaweka wafanyakazi.wa ndani na wengine wa nje kwa ajili ya usafi na garden sasa asubuhi baba na mama mwenye nyumba si huwa wanaenda kutafuta riziki na kurudi jioni huku nyuma kuna siku huwa wanaacha funguo kwa ajili ya kufanyiwa usafi chumbani kwao kumbe vijana wa kazi washapendana unajua kilicho tokea kile chumba cha boss ndio kilikuwa gest house hamadi siku wana kuja kuangalia marudio ya kwenye kirekodi chao hawakuamini walichokiona na kuwaambia hawakudhubutu zaidi ya kufunga chumba na kuzitoa zile camera za ndani wasijeyaona ya firauni zaidi wasichana wa kazi wana mambo mwee.