Ole wako akubambe na mchepuko...

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
umempenda mwenyewe kwa moyo mmoja,
Basi tulia dadeki zako....
Akikubamba na mchepuko ujue shingo na kiwili wili hakutokuwa na collabo tena!:boxing:
 
mwisho wa siku atabaki kuwa mwanamke tu na atavuliwa na kulazwa kifo cha mende...:becky:
 
....mi mwenyewe Nina mkanda mweusi....
 
wa hivi huwa wakarimu sana mzigoni wala msiogope wanaume
 
sipati picha kama upo between...hisia zake zikaisha ghafla atakavyo kurusha kama kakaratasi vile pyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…