Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Amebeba wabunge wote waliokosa ubunge mwaka jana mkoani Arusha mpaka mwenyekiti wa CCM Arusha.Kihistoria mji mkuu wa Nairobi ni mji wa Masai na ndio chimbuko lao.
Haha, swali gumu sana, sidhani kama utapata jibu la kukuridhisha hapa [emoji1]Kwahiyo Edward Lowassa ni mukenya