Tetesi: GE2025 Ole Sendeka na Mrisho Gambo wafyekwa kwenye mbio za Ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa.

Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia wengine waliofyekwa ni pamoja na Noah Lembris (Arumeru Magharibi), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Pauline Gekul (Babati) na Flatey Massey (Mbulu Vijijini).

Kujua nini kinajiri Arusha kwenye Uchaguzi Mkuu soma: Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Taarifa zinadai kuwa waliopitishwa katika tatu bora ni pamoja aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi kupitia CHADEMA.

Kwa upande wa Simanjiro, majina yanayotajwa ni panoja na la Jmaes Ole Millya ambaye ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na wengine wawili.

Taarifa kamili za majina kupitishwa zitatolewa baada ya Kamati Kuu ya CCM kuketi.
 
Vyuma Kwa vyuma vinasagana ,,,,

Kwan Arusha wamekosa kbs mtu mwenyewee utu mpk wameenda kusimamishaa hao majambazii na wauwajii watatuu 🤔🤔
 
Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa.

Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia wengine waliofyekwa ni pamoja na Noah Lembris (Arumeru Magharibi), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Pauline Gekul (Babati) na Flatey Massey (Mbulu Vijijini).

Taarifa zinadai kuwa waliopitishwa katika tatu bora ni pamoja aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi kupitia CHADEMA.

Kwa upande wa Simanjiro, majina yanayotajwa ni panoja na la Jmaes Ole Millya ambaye ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na wengine wawili.

Taarifa kamili za majina kupitishwa zitatolewa baada ya Kamati Kuu ya CCM kuketi.
WanaSimanjiro tunatamani Tetesi ziwe kweli 😃😃ila Uchaguzi 👇👇
 
Majina yatarudi tu
 
Jimbo la Arumeru mashariki mgombea ni Joshua Nasari.
Jimbo la Simanjiro mgombea ni James Ole Millya.
 
Sabaya je kaka?
Sabaya nasikia amejipanga sana.
Unaambiwa jamaa amekuwa mlokole hadi amepitiliza.

Yaani hata akinunulia mtu pombe hatalala ataumwa usiku kucha.

Na ana watu wengi katika maeneo ya Arusha magharibi wanaomuunga mkono.

Nimesimuliwa na rafiki yake kinakindaki
 
Ila nahisi ni mgonjwa ,dah maisha maana yake ni nini lakini ?
 
Za ndaaani kabisa kule Bumbuli Janywaree hana chake
 
Back
Top Bottom