Oldonyo Lengai/Samunge kwa Mch Mwasapile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oldonyo Lengai/Samunge kwa Mch Mwasapile

Discussion in 'Jamii Photos' started by Inkoskaz, Mar 11, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Angalia mandhari ya Samunge na Mlima wa OLDONYO LENGAI(mlima wa mungu) wenye Volcano hai inayolipuka
   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  picha no 86 ni nini?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mauti yamemfika eneo la tukio
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  so sad. Na mama wa watu hana hata usafiri.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  so sad. Na mama wa watu hana hata usafiri.wewe umejisikiaje kumpiga tu picha huyo bibi na maiti yake? Labda alikuwa anahitaji msaada wake ndugu.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  so sad. Na mama wa watu hana hata usafiri.wewe umejisikiaje kumpiga tu picha huyo bibi na maiti yake? Labda alikuwa anahitaji msaada wake ndugu.or no free lunch in USA
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  nilijisikia vibaya na kujaribu kudadisi namna gani ya msaada inahitajika,bahati nzuri ni wenyeji wa eneo lile na ndugu walifika kuchukua maiti.huu ni ujumbe kwa serikali yetu..no ambulance..no mortuaries,ama hakika maisha huko ni kama msumari na nyundo!
  Halafu mnawanunulia Tri cycle wajawazito zitasaidia nini?
  nisingepiga usingejua haya na kusimuliwa ingekuwa na mapungufu
   
Loading...