old mamaaa!

old mamaaa!

Bait

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
24
Reaction score
0
mama:docta mkono wangu wa kushoto unaniuma sana docta:usihofu mama ni ktokana na umri mkubwa mama:lakin mkono wngu wa kulia ni mzima kabisa sktegemea mkono wngu wa kushoto utakuwa mkbwa kuliko mkono wangu wa kulia
 
Back
Top Bottom