Old is gold

Aaaahh mshana jr umenikumbusha mbali sana aisee. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunacheza ile rede ya kujaza mchanga kwenye kopo aisee ilikuwa burudani si kidogo. Wakati wa kucheza unarelax kabisa...shughuli ikifika jioni. Ukijiangalia kuanzia kichwani fulu michanga yamebaki macho tu ndo yanaonekana.....unachezea kichapo na kesho unaenda tenaa...utoto rahaa
 
Last edited by a moderator:

If only I could turn back the time Khantwe....!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo mkuu inakutana timu ya CHANGALAWE MBINDE STAZ NA TAZARA hapo lazima pa chimbike. Mkuu huo mpira wa makaratasi kwetu unaitwa KINYENGA.
 
Kwani umeshakua??
 
kipindi hiyo anaepiga madochi anatolewa nje asifumue mpira.

Kweli kabisa, mtu akiwa na Gozi anakuwa kama.prince mtaani hata kama hajui kusakata kabumbu namba lazima apate.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…