Mezani kna mmeaa tu hapooMtoa mada et daktari amekuambia hizo dawa hapo mezani umeze kwa siku mara ngapi ?
Nmerudi Kwenye Nokia E90
yangu Sim yangu ya kitambo sana
Ilizinguaga ila nmeiamsha
Kwa wale wakongwe watakuwa wanaitambua mambo huu
Ova
View attachment 1396407View attachment 1396408
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe hiloooo naloNami navuta muda nirudi hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1396455
Katam sana haka
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Naikubali kinoma hiyo.