Asante mkuu CAMARADERIE, kwa picha ya NDOMBE OPETUM..nina video kibao za bendi ya TP OK JAZZ, umenikumbusha nilipomwona huyo jamaa, TP OK JAZZ ilikuwa bendi kubwa sana..
-nakumbuka nyimbo kama vile Kadima, uliotungwa na Lutumba Simaro na ukaimbwa na Djo Mpoy kijana kutoka jimbo la Shaba.
-nakumbuka Liberte, miaka ya 1974!
-Nakumbuka wimbo mzuri wa ekaba-kaba.
-Bila kusahau Matata ya Mwasi Esilaka te![matatizo ya ndoa hayataisha]
-Mamou[mpiga gitaa la besi Mpudi Deca alipoigiza kuimba sehemu ya yule mwanamke]
wapiga magitaa;
-papa noel
-lutumba simaro
-michelino
-mpudi deca
-franco luambo
kweli "old is gold"