Kama Polisi wa Arusha wangekuwa na akili wangemwachia Ambrose kwani Mungu ameamua kuonyesha mhusika wa bomu la olasiti siyo yeye bali alikuwa mtaani na akatumiwa tena kurusha Soweto.
it will be better if we ask the Arusha police about this, why did they shoot the woman who did identify the one who throw the bomb? and why did they take him with them if they know nothing about what going on.
Hakuna marefu yasiyo na ncha , na hizo taarifa zinazofichwa itafikia kipindi zitawekwa wazi. Kuanzia yaliyofanyika Zanzibar, Morogoro, arusha na kwingineko na hapo ndo kutakuwa na kilio na kusaga meno Kumbuka muosha huoshwa pia we endelea kutamba ipo siku na haiko mbali, hata mimi mkinitanguliza na wewe utakuja tu, Huna ujanja. CCM is now in the grave. Propoganda uchwara kama hizi na mwenzio Nape haziwasadii , there are sending you deeper in the grave. Poor CCM.....