Okwi (Yanga) vs Besala Bokungu (TP Mazembe)

Okwi (Yanga) vs Besala Bokungu (TP Mazembe)

Mkuu, habari za kushinda airport!?

Poa kabisa.

Mkuu unashangaa nini sisi kukaa JNIA kwa masaa machache kabla ya kusambaa wakati kuna watu kule South Africa walimsubiri Mandela atoke gerezani kwa muda wa miaka 27!

Au hujui kuwa leo kuna watu tunamngoja Yesu arudi kutoka mbinguni, tangu aahidi kurudi leo yapata miaka 2010 plus.

Sasa sie tukishinda Airport kwa masaa machache tukimngoja Okwi wetu aje, tatizo liko wapi?
 
Sisi wala hatuhitaji kumtumia Okwi katika mechi nyingine zaidi ya ile ya Nani Mtani Jembe, Jumamosi hii, Simba 'mtalokota' mipira 6 kutoka nyavu zenu.
Hapo mkuu umenena, hata Simba tulishawahi kumtumia mchezaji mmoja kwa jina la Abeid Mulenda mwaka 2005 kwenye mashindano ya TUSKER kule Kenya na mechi ya kwanza tu alifumania nyavu mara tatu.
 
Mmefuta thread yangu ehee!
Huu ndio ukweli Simba! mateso na mamnyayaso inayopitia Simba ni mapito tu ,na yatafikia mwisho babda ya kuwanyang'anya utawala wa nchi wanamtandao!
 
Mmefuta thread yangu ehee!
Huu ndio ukweli Simba! mateso na mamnyayaso inayopitia Simba ni mapito tu ,na yatafikia mwisho babda ya kuwanyang'anya utawala wa nchi wanamtandao!

Muulize Mwenyekiti wa Magwanda na katibu mkuu wake ni washabiki wa timu gani hapa bongo, labda masalia ndio mnyama lakini hao wote ni ABIJOO chama la jangwani ah ah ah
 
Hapo mkuu umenena, hata Simba tulishawahi kumtumia mchezaji mmoja kwa jina la Abeid Mulenda mwaka 2005 kwenye mashindano ya TUSKER kule Kenya na mechi ya kwanza tu alifumania nyavu mara tatu.

Pamoja sana Mkuu. Okwi atapiga 3, Kiiza 2 na 1 mtajifunga wenyewe.
 
Hili sakata nililiona mapema na nililianzishia thread hii. Leo hii wachambuzi mashuhuri wa soka nchini wanaifanyia quote thread hii katika mijadala yao
 
Hili sakata nililiona mapema na nililianzishia thread hii. Leo hii wachambuzi mashuhuri wa soka nchini wanaifanyia quote thread hii katika mijadala yao

Nani ameku-quote? Wewe mwenyewe ume-paste hiyo taarifa ya Kiingereza bila kuweka bayana ulikoitoa.
 
besala bokungu alitoka mazembe, akaenda esperance ya tunisia. Mkataba wake na klabu ya tunisia ulisitishwa na chama cha soka cha nchi nyingine ya jamhuri ya congo,ambacho kiliidhinisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya virunga, klabu ambayo baadaye ilimuuza kwa mazembe.

okwi alitoka simba, akaenda etoile du sahel ya tunisia. Pamoja na kuruhusiwa na fifa kuichezea villa kwa muda wa miezi 6 tu wakati anatatua matatizo yake na etoile,
kimantiki mkataba wake na klabu ya tunisia ulisitishwa na chama cha soka cha nchi nyingine ya uganda, kwa kuidhinisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya villa na kisha klabu hiyo kumuuza kwa yanga.

sasa angalia jinsi mazembe walivyonyang'anywa point kwa kumchezesha bokungu:


reigning african champions tp mazembe of dr congo have been disqualified from the champions league.

The confederation of african football (caf) took action after a complaint from tanzanian side simba about the eligibility of janvier besala bokungu.


mazembe beat simba 6-3 on aggregate in the second round of the tournament.

simba will play morocco's wydad casablanca, who lost to mazembe in the third round, for a place in the group stages of the tournament.


the one-off game will be played at a neutral venue next week.


mazembe have won the champions league for the last two years and reached the final of the club world cup last season, losing 3-0 to italians inter milan in the final.


bokungu, a 22-year-old kinshasa-born defender, was transferred from mazembe to tunisian club esperance in 2007 and rejoined the congolese club this year.


reports say he then broke a contract with the tunis team that runs until june this year, but a mazembe official insisted the bokungu transfer was legal.

aloo unatisha.ulitabili mwezi wa kumi na mbili mwaka 2013,hii leo mwaka 2014 inatokea kweli.wewe balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom