Emanuel Okwi amefika salama salmini Tunisia,mimi kama Sintah j wake lopez namtakia kila la kheri katika kazi yake huko.
kwa wale wanaofikiri me na yeye ni enemies uwiiiii mnachekesho team kusameheana n the new life begins,
kwa kweli hali ya hewa ya huko ni mbaya ila Mungu atamsaidia-
kwa wale mnaom miss kama mchezaji mzuri haswa wa Simba SC just follow him on twitter @okwi25
me huwa napenda kumuita Ems kifupi cha Emanuel so usifikiri hilo pia ni jina lake lolest.
Hili dada nahisigi kama akili yake sio nzuri,
lilichezea wakat wake limerudi kulazimisha mambo likiwa lishazeeka,..
Ko linabaki kuonekanika kituko tu mbele ya jamii