Goli la yanga alifunga nan gem hyo mkuuYanga walimfungia, tena mechi dhidi ya simba ilikuwa inakaribia na hakuchezeshwa
17 PHD these are results
[emoji63]Vipi... Unamwonaje Okwi? Anaendelea kuringa? Nmependa anavyowasumbua simba. Mechi mbili kawafungisha bao sita.