Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo wakereketwa wa Yanga tarajiaeni kumwona Okwi Kagame Cup ndani ya uzi wa njano na kijani na hajaenda South Africa wala Italy ilikuwa zuga tu.

Very myopic..yaani nyie mnajiona wajanja kuiba wachezaji Simba..mpaka Simba wawaone ndio nyie muwaibe..siwalaumu maaana hamnaga uwezo wa kutafuta wachezaji wazuri uwezo wenu umeishi kwa kina mwape na Asamoah..Simba itaendelea kusajili majembe na kuyatumia na nyie mtaendelea kula makombo yetu miaka kibao..Haha..
Yanga hata akija Balotelli hamna kitakachopunguza kipigo.Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo wakereketwa wa Yanga tarajiaeni kumwona Okwi Kagame Cup ndani ya uzi wa njano na kijani na hajaenda South Africa wala Italy ilikuwa zuga tu.
Huo muda unaotumia kutapika ujinga wako ni bora ukautumia kujifunza kiswahili...what is 'alivyoendaga'?Idiot!Okwi hawezi kwenda South Africa , Italy auwapi huyo ni hapa hapa tu, kwani ni kwamba alivyoendaga kipindi kile kufanya majaribio ktk timu ya Orando Pirates, alipohitajika kwenda kufanyia vipimo okwi alimkimbia Dr. wa ile timu na kuahidi angerudi , kikubwa kinachomsumbua huyu kijana ni kufahamu afya yake ( HIV ) hivyo hawezi kwenda kucheza ktk nchi za wenzetu ambazo zinatekeleza na kutenda ukweli, hivyo mimi nakubaliana na nia yake ya kwenda yanga kwani angekuwa yuko safi asingeweza kuendelea kuwepo hii bongo timu nyingi zilishawahi kumhitaji Emmanuel Okwi, lakini hilo ndo tatizo alilonalo na huwa hataki kujiweka wazi.