GE2025 Oktoba Tunatoka

GE2025 Oktoba Tunatoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
811
Reaction score
519
20251012_145346.jpg

RISE UP TANZANIA! 🇹🇿
WAKE UP TANZANIA!
FREE TANZANIA!
SAMIA MUST GO!

STOP ABDUCTIONS I TANZANIA!
FREE POLE POLE!
FREE TUNDU LISU!
NO REFORMS NO ELECTIONS!

20251012_145150.jpg
Screenshot_20251012-115515.png
20251012_143357.jpg
20251011_131744.jpg

#AFRICA_UNITED
#EASTAFRICA
#STRUGGLE_FOR_AFRICA
🌍🇹🇿🇺🇬🇿🇦🇰🇪
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
View attachment 3487539

RISE UP TANZANIA! 🇹🇿
WAKE UP TANZANIA!
FREE TANZANIA!
SAMIA MUST GO!

STOP ABDUCTIONS I TANZANIA!
FREE POLE POLE!
FREE TUNDU LISU!
NO REFORMS NO ELECTIONS!

View attachment 3487540View attachment 3487541View attachment 3487542View attachment 3487543

#AFRICA_UNITED
#EASTAFRICA
#STRUGGLE_FOR_AFRICA
🌍🇹🇿🇺🇬🇿🇦🇰🇪
 
Swala la wananchi kuikatia tamaa serikali nadhani hili ni zaidi ya 98% ipo kwa nchi nzima.

Kinachokosekana saizi ni hamasa tu ya kutosha kuwafanya wananchi wajihami kuandamana hiyo siku ya tarehe 29.

Na kuna watu naamini wameshikilia hiyo silaha ila wanangojea tu muda ufike waiachie, wanajua wakiitoa saizi kuna kipindi kirefu kuifikia siku hiyo so zile hasira, motisha zinaweza kupungua hivyo wanasubiri kwenye zile tarehe za mwishoni mwishoni kuelekea 29 waziachie.

Saizi yanaoneknana ni mapambano yanayofanywa na kundi dogo la watu lakini huko tunakoelekea kuikaribia hiyo siku kuna wimbi kubwa la ongezeko wa watu kuunga mkono haya maandamano.

Saizi kinachofanyika ni kwamba wanasubiri karibu na deadline watoe mabomu ambayo yatayochochea hamasa itayofanya watu wengi wajitokeze kuandamana.

Huko mbeleni tutarajie watu wazito zaidi ya Captain Tesha na wengine wanaweza kujitokeza kuungana na wananchi na kuongeza morale na hamasa.
 
Uko sahihi, kundi lililokata tamaa ni kubwa sana kuanzia maofisini mpaka mtaani. Nimekuwa kwenye vijiwe vingi nikichomekea hii mada, hata maofisini pia. Watu wanasema hawapendezwi kabisa, ila sikuwahi kusikia hata mtu mmoja aliye tayari kuandamana.

Hapa ndio hoja ya Kigwangala inakuwa kweli kwamba mtanzania anayeshiba hawezi kuandamana.
 
Sio kwamba hawataki tu kuandamana kwasababu wameshiba, ila hawa mapolisi wetu wakipewa fursa ya kuzuia vurugu huwa hawapigi kutuliza ghasia, wanapiga kuua.

Hiki ndio kitu ambacho kinawakatisha wengi tamaa kwasababu tunao wapambania kuwapa mfumo bora wa maisha ambao utaenda kuwanufaisha hata wao, wanaungana na watesi kushiriki kutuumiza ili kukwamisha hayo mabadiliko.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Hapana. Sio ccm wote ni wabaya. Wala viongozi wote wa serikali. Msije umiza watu wasiohusika kwa mob movement.
 
Swala la wananchi kuikatia tamaa serikali nadhani hili ni zaidi ya 98% ipo kwa nchi nzima.

Kinachokosekana saizi ni hamasa tu ya kutosha kuwafanya wananchi wajihami kuandamana hiyo siku ya tarehe 29.

Na kuna watu naamini wameshikilia hiyo silaha ila wanangojea tu muda ufike waiachie, wanajua wakiitoa saizi kuna kipindi kirefu kuifikia siku hiyo so zile hasira, motisha zinaweza kupungua hivyo wanasubiri kwenye zile tarehe za mwishoni mwishoni kuelekea 29 waziachie.

Saizi yanaoneknana ni mapambano yanayofanywa na kundi dogo la watu lakini huko tunakoelekea kuikaribia hiyo siku kuna wimbi kubwa la ongezeko wa watu kuunga mkono haya maandamano.

Saizi kinachofanyika ni kwamba wanasubiri karibu na deadline watoe mabomu ambayo yatayochochea hamasa itayofanya watu wengi wajitokeze kuandamana.

Huko mbeleni tutarajie watu wazito zaidi ya Captain Tesha na wengine wanaweza kujitokeza kuungana na wananchi na kuongeza morale na hamasa.
Ushauri wangu kwa jeshi la polisi, hiyo siku ya maandamano, wagome kwenda kazini, maana kitendo cha kuvaa sare za jeshi la polisi na ukawa barabarani basi unakuwa kwenye hatari ya kifo kwa kushambuliwa na wananchi maana hadi sasa watanzania wengi wanaamini askari ndo watekaji na wauaji, mwananchi yoyote hiyo siku akimuona polisi ni sawa na kumuona muuaji na atapambana yeye.

Polisi kaeni nyumban singizia unaumwa, au vaa nguo za nyumbani waunge mkono wananchi.
 
Back
Top Bottom