Kwao ule ni mradi wanalipana halafu no Reform No Election ni movement yakizalendo kule malipo yakichelewa tu Reli haisukumwiDaima HIARI YASHINDA UTUMWA...
chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa banda ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi huko
Kilichobaki ni wazalendo wanajiuliza kati ya oktoba tunatiki na chaumma ipi tuzike hapahapa ipi tusafirisheView attachment 3361286
We jamaaa bhana! Una akili sana hadi rahaDaima HIARI YASHINDA UTUMWA...
Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa banda ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi huko
Kilichobaki ni wazalendo wanajiuliza kati ya oktoba tunatiki na chaumma ipi tuzike hapahapa ipi tusafirisheView attachment 3361286
Wanatiki maifuti, waseme wanaiba kura na kutumia kura za majini na maruhani imported kutoka kisiwaniDaima HIARI YASHINDA UTUMWA...
Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa banda ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi huko
Kilichobaki ni wazalendo wanajiuliza kati ya oktoba tunatiki na chaumma ipi tuzike hapahapa ipi tusafirisheView attachment 3361286
CCM mbeleeeee kwa mbeleeeee ππππ
Ukisikia kila mtu abaki na chake ndio kama hiviπ€£CCM mbeleeeee kwa mbeleeeee ππππ
Tulio huku site tunajua ilivyo chali.Chauma chali kivipi?