Oktoba 2025 ifike tuachane na no reforms no election

Oktoba 2025 ifike tuachane na no reforms no election

Joined
Apr 15, 2025
Posts
66
Reaction score
34
Ni kheri Oktoba 2025 ifike ili tutiki na kuachana na huu upuuzinwa no reforms no election unaoandikwa kila sehemu na kuomekana kama uchafu.
 
FB_IMG_1751319814861.jpg
kijana katikise makalio hiyo oktoba yako
 
Ni kheri Oktoba 2025 ifike ili tutiki na kiachana na huu upuuzinwa no reforms no election unaoandikwa kila sehemu na kuomekana kama uchafu.
Kutiki ni kupoteza muda tu mkuu...Bora ukatafute kipato.Wenye nchi walishatiki kitambo tu
 
Tuache huu upuuz pia

Ni kheri Oktoba 2025 ifike ili tutiki na kiachana na huu upuuzinwa no reforms no election unaoandikwa kila sehemu na kuomekana kama uchafu.
 
Back
Top Bottom