mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,126 Reaction score 58,853 May 15, 2024 #21 fimboyaasali said: nimemuona rasmi leo kwenye mazoezi ya yanga,akiwa na furaha kabisa,yupo okra Click to expand... Sawaa.ila ukweli utabaki pale pale.usajili wa kukurupuka
fimboyaasali said: nimemuona rasmi leo kwenye mazoezi ya yanga,akiwa na furaha kabisa,yupo okra Click to expand... Sawaa.ila ukweli utabaki pale pale.usajili wa kukurupuka
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,701 Reaction score 15,677 May 16, 2024 #22 fimboyaasali said: Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi? View attachment 2989864 Click to expand... Muda mwingi nakuwa nae hapa tunakunywa K Vant!
fimboyaasali said: Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi? View attachment 2989864 Click to expand... Muda mwingi nakuwa nae hapa tunakunywa K Vant!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,523 Reaction score 138,432 May 16, 2024 #23 fimboyaasali said: Najua yupo yanga,lakini wapi? Click to expand... Nenda kwenye kambi yao ya Avic Town Kigamboni, utamkuta!
fimboyaasali said: Najua yupo yanga,lakini wapi? Click to expand... Nenda kwenye kambi yao ya Avic Town Kigamboni, utamkuta!
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,158 May 16, 2024 #24 Yupo Avic pale
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 21,031 Reaction score 77,850 May 16, 2024 #25 Tate Mkuu said: Nenda kwenye kambi yao ya Avic Town Kigamboni, utamkuta! Click to expand... Hata Guede yupo hukohuko?
Tate Mkuu said: Nenda kwenye kambi yao ya Avic Town Kigamboni, utamkuta! Click to expand... Hata Guede yupo hukohuko?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,492 Reaction score 21,213 May 16, 2024 #26 Badala ya kutafuta ugali wa wanao unamtafuta okra kikwetu ni bamia hiyo. Nyie watu sijui mtajitambua lini.
Badala ya kutafuta ugali wa wanao unamtafuta okra kikwetu ni bamia hiyo. Nyie watu sijui mtajitambua lini.