Okoeni uchumba huu - msaada

nimepata mwanga kidogo...so anaekua na maji mengi ndo anakua wa baridi si ndio?

noo nooo noo sijamaanisha hivyo.. nina amaanisha, kuna wenye joto, kuna wenye mnato, kuna wenye kupwaya japo hapo inategemea na size ya men.. kuna wengine wakavuuuu inakupasa kutumia muda zaidi kumuandaa ili awe na majimaji... kwani wewe huwa inakuwaje mnapoanza? jamaa huwa anakwambiaje?
 
Nilishawahi kukutano nayo hii mara 2 hivi japo ni rare sana. Nikachukulia kirahisi tu sikuwahi kuwaza na ukizingatia nilikua napita tu. Ngoja niifanyie literature review.
 
Nilishawahi kukutano nayo hii mara 2 hivi japo ni rare sana. Nikachukulia kirahisi tu sikuwahi kuwaza na ukizingatia nilikua napita tu. Ngoja niifanyie literature review.

ic tatizo lipo. ila wengi huchulia ni kawaida.. nashukuru kuna mtu kani PM ananiambia kanda ya ziwa lipo sana...
 
no mercy hapo kaka piga chjni kachukue mwengine...wao usipowatom.ba vizuri wataenda gawa nje sasa yeye aseme ukweli tuu bby u cnt f.uck so am leaving u before i cheat.
 
Tendo la uchumba ndio lipi Hilo?
 
ooooh..okay nimekuelewa..asante kwa kunielewesha
 
no mercy hapo kaka piga chjni kachukue mwengine...wao usipowatom.ba vizuri wataenda gawa nje sasa yeye aseme ukweli tuu bby u cnt f.uck so am leaving u before i cheat.

mmmhhh
halafu ww naona umerudi kwa fujo ndo ushauri gani huu!!?
acha hizo bana
 
tendo la uchumba sijalijua! labda ilo huwa nilabaridi,ila tendo kama nila ndoa lazima liwe sawa waambia waache uasherati
 
Naombeni kuuliza wajameni! Hivi watu wanaoana kwaajili ya sex eeeh!
Of course ndoa ni tendo la ndoa, otherwise si wangeoana wanawake watupu au the opposite au kila mtu angebaki kwa Baba na Mama yake
 
Sasa si angesugua sugua ili friction ilete joto?
 
Leo kichwa yangu imekua ngumu kuelewa. Lakini ni heri akaenda kwa dok anaeza pata msaada.
 
Desidery,

Heri ya mwaka mpya kwako pia,

Moja nianze kwa kusema HAKUNA kitu kama "tendo la uchumba"!

Pili, " Ubaridi" huu unaosemwa hapa je uko wakati wakikutana kimwili tu, au muda wote?Tatu, ninachoshindwa kuelewa ni kuwa kama hili "tatizo" ameliona siku nyingi kwanini kuomba ushauri SASA?
Mategemeo ni yapi hasa kwa wakati kama huu mfano ikiwa ni tatizo itahatarisha uchumba, pengine ndoa itarijiwayo?

Ninadhani, watu hutofautiana, jotoridi la mwili, wakati fulani, hali ya hewa na mazingira huchangia. Ingekuwa vizuri kutambua shida nyingine ya kiafya kama ipo, mfano baadhi ya hali/magonjwa hufanya mwili kuwa wa baridi.
 
Last edited by a moderator:

"tendo la uchumba """"hatareeeeeee!!!!!!!
 
BiDada Aanzekutumia asali safi/asilia asubuhi na jioni kabl ya kulala.... na vinywaji kama Coffee/green tea nk... Hongera na Maisha muruwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…