Okoa wasira

Mh. Rais wa tz 2016 kweli? hata uwaziri ni mkubwa kwake
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli siasa ni kama mchezo wa kurushiana vinyesi
 
Huyu hadi naogopa kila nikifikiria picha yake eti ndo ikaa kwenye ukuta wa ofisi yangu...............hell nooooo
 
Kweli kabisaaaa,yan amekaa amejitathimini ameona anafaa na bado kuna watu wanamsupport kweli ni shida
 
Mjiandae kutowatuma watoto
 

Attachments

  • 1433812367817.jpg
    43.4 KB · Views: 206
Nachukia sana watu wanavomsema wawatu kisa sura yake tu, leteni hoja kwa nini hafai ..
 
Nachukia sana watu wanavomsema wawatu kisa sura yake tu, leteni hoja kwa nini hafai ..

Wasira kama alishawah kuwa wazir wa maji na bunda aina maji ambapo ipo km 6 toka ziwa viktoria . unais ataifanyia nn nchii hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…