mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 24 so kutokana na ubize wa kaz ninayo fanya cna muda hata wa kutafuta girlfriend wa kunifariji na kunishauli so ma aim ni kuangalia ndani ya jf kama yupo bac unaweza ni bip kweny no 0757737026 anytime u want.

Hiyo kazi gani inayokufanya uwe bize kiasi cha kukosa muda wa ku sosholaizi? Niwapi huko unakofanya kazi ambapo hakuna wasichana uwatongoze, au wewe huendi hata hotelini au hata kwa mama lishe? Unakaa mtaa gani usio na mademu hata ma house girl? Hupandi dalala dala au kama unadrive hupitagi petro stations au hata ohio au kwa macheni? Auendi church au hata msikitini? Huwa hauendagi kwenye sherehe za ndugu na marafiki wala kwenye misiba? We uko bize kiasi gani ? Au wewe ni shetani
,