oil & gas explorations/tanga

VITA VYA KAGERA

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
430
0
Kuna taarifa nimeipata kwa mtu wa kuaminika leo asubuhi kuwa SAME, Kilimanjaro wamegundua mafuta. Mwenye taarifa zaidi ya hili jambo anaweza kujuza zaidi. Kama inavyo fahamika Tanga na Kilimanjaro ni majirani hivyo pilau likipikwa SAME, harufu inafika mpaka Korogwe.
 
marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
225
Hakuna ugunduzi wa mafuta ama gas unaofanywa bila kuchimba. Gravity ama seismic survey hufanywa kujua kama kuna ishara ya uwepo wa masalio yenye mafuta ama gas. Katika hatua hii huwa ni ngumu kujua kama ni mafuta ama gas mpaka kufanyike drilling. Ninanvyojua Tanzania ni maeneo ya Pwani na baharini ndo yaliyokwisha kutafitiwa kwa njia ya kuchimba...Same hawajachimba ingawaje kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na mafuta rift valey kulikoni eneo lolote kwa ukanda wetu wa East Africa
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom