M matawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2010 Posts 2,052 Reaction score 242 Jun 2, 2012 #1 Watanzania wanaoteswa na mfumo mchafu wa ccem na kuendelea kuteseka katika nchi yenye utajiri wa kila kitu hatimaye wamebatizwa jina la oili chafu. Jamani ntashangaa sana kama kuna mtanzania maskini bado anaendelea kubaki huko
Watanzania wanaoteswa na mfumo mchafu wa ccem na kuendelea kuteseka katika nchi yenye utajiri wa kila kitu hatimaye wamebatizwa jina la oili chafu. Jamani ntashangaa sana kama kuna mtanzania maskini bado anaendelea kubaki huko