mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,912
- 5,255
Huko ndo kulazimisha udugu sasa, kwamba sisi tu Bara ndo twaujua huo udugu? . watu ambao hadi leo hii tukienda kwao twaitwa kila aina ya majina ya kejeli mara watuite chogo, mnyamwezi (hii ikiwa na maana ya watumwa)na kafiri.
Wabara gani wanaojitanua zanzibar kama wao wajitanuavyo huku Bara. ? .mawazo ya kuendelea na muungano kwa muundo huu wa sasa ni mawazo ya ukoloni. Na hili la kuwaamulia wazanzibar juu ya mambo yao ipo siku litaigarimu tanganyika kama sio leo kesho.
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO

Hakuna mtu analazimisha Muungano, bali Muungano wetu adhimu ni udungu wa damu baina yetu. Kwa Wazanzibari asili na halisi wanapenda Muungano, na asili ya halisi ya Zanzibar ni sehemu ya Azania ikamegeka miaka milioni nyingi nyuma.
P
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO