Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Nilikuwa nashangaa sana kuona kwamba wawakilishi wetu kwenye Baraza la wawakilishi hawajatoa tamko lolote kuhusiana na sakata la tanzania kujiunga na OIC.
Tunajuwa na tunafahamu fika Znz ilishajiunga na Jumuia hiyo ila kutokana na muundo wa katiba ya muungano, ambapo masuala yote ya mahusiano ya kimataifa yatafanywa na Jamuhuri ya muungano. hapo tukakwama.
sasa tungoje kauli wiki hii toka barazani kama walivyoitoa kuhusu mafuta na gesi asilia.
BRAVO WAWAKILISHI ZNZ