fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,609
- 7,169
Twiga Stars jana tulipigwa 4-1,ni wazi kabisa kocha wetu Bakari Shimye,kwa sasa inatosha.Tumpe asante yake na tutafute makocha wenye ujuzi mkubwa
Imefungwa timu ya masisiyemuTwiga Stars jana tulipigwa 4-1,ni wazi kabisa kocha wetu Bakari Shimye,kwa sasa inatosha.Tumpe asante yake na tutafute makocha wenye ujuzi mkubwa
yote hayo ni sawa na wala mie simlaumu bakari,ila ukweli ni kwamba benchi letu la ufundi halina wataalamu haswa,wote hao ni watu kutoka jkt queens,meneja wa jkt queens ndio kocha wa makipa wa twiga queens,uwezo wao ni mdogo ukulinganisha na makocha wa timu zingine,wakati makocha wa timu zingine wakifanya tactical decisions,makocha wetu wakipiga kelele,kimbia,bado dk 10 pambananeni sana.Tuwashukuru makocha wetu na sasa tuajiri makocha wenye ujuzi na sio kuazima benchi zima kutoka jkt queensTunaweza kumlaumu Shime ila ki uhalisia Ile team kocha yeyote angekosa matokeo
Wachezaji wote muhimu hawakuwa ndani ya team kwa ukamilifu
Clara ,Aisha masaka,Aisha Mnunka ,Winfrida n.k
Team haikuwa imepewa hamasa yoyote wako kama yatima
Wadau walikuwa wanangoja wafike final ndio waanze kuwavunja moyo
Anyway warudi nyumbani
NB:
Nina mashaka kama hata posho zao wamepewa