Oh Pacome,pole sana

Ulaya wanakwambia kuvunjika kule kunatibika na unarudi kucheza fresh tu, ila matibabu sahihi yanaanzia kulekule uwanjani, mkikosea kuuweka sawa pale uwanjani kipindi anatolewa kwa machele basi ndio bye bye kwenye soka.
 
Kwa matibabu sahihi anapona vinginevyo uwezekano wa kurejea uwanjani kusakata kabumbu ni wa mashaka
 
Huku usukumani mtu anatibiwa kienyeji mwezi mumoja tu anarudi hali ya kawaida na shughuri zake zinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…