Oh! Maskini Watanzania

siku hizi ni kichapo tu kwenda mbele natamani hata mawaziri wapewe kichapo bungeni maana wamezidi kwa ahadi hewa..
_kichapo hoyeee
 
na wawe makini aiseee .. na mameneo yao ya kipuuzi huko bungeni yanatia kinyaaaa
 
jana nilishuhudia yule mwenyekiti wa mtaa wa pinda aliyetaka kuapishwa jana akitembelea kichapo cha haja,kisema kweli watanzania sasa wako serious na haki zao
 
Marire una nyumba, gari na akaunti yako inasoma how much? na unafanya bashara gani?

kabati ya mbeo ninayo,gari ninayo na acount ipo vizuri
_sifanyi biashara mi mwana escrow
~je wewe unalipa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…