Ogopa wanaume matapeli

Mamaee, kwangu Mimi hakuna cha nyumbu sijui Wa hadhi gani, nkishakutaka na nkakuelewa mi mwenyewe automatically najimould kulingana na nyumbu mwenyewe alivo, juzi kati hapa nimemtapeli K mkurugenzi mmoja Wa kampuni ya ujenzi kwa ahadi ya kumuunganishia mchongo Wa tenda kumbe mwenyewe injinia uchwara tu..........

Niulize ilikuwaje.......
 
Uuuwi
Mungu akusamehe njoo huki usome na hii
Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Wala staki maana huyo mkurugenzi ana sound depressing
Njoo huku usome cv yangu na unione

Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Hizi cases zipo kwa jinsia zote, utapeli unafanywa na wadada pia.

I wouldn't call that dude "Mario", huyo ni tapeli kama walivyo matapeli wengine.
 
Mkome.mnarukaruka ovyo kama samaki wanaodandia vyambo. Kila mkiona suruali vinena vinawacheza hyky mkichungulia mifuko ya nyuma ilivyotuna.Mtaendelea tu kugongwa hata mjihadhari vipi.We mume unakutana naye siku moja anakuhaidi 20 m hujiulizi mara mbili?
 
Eti ee na wahuni walivyo watamu sipati picha mtoto wa watu alivyokuwa anakojozwa...dada kalipia utamu huyo..
 
Mjanja mwenzako ndo unamsemea humu kalipia mboo milion 15...usijisifu ujanja mwanamke
 
Aaah wewe mi wa nini tena, mi sili manunyambe ya town kama wewe ukizingatia mi ni Mzee Wa kutembelea rim kama so kuloweka hivo manyumbu ya type zako naweka kushoto.....

Mi nakula vitu descent,

I take risk but calculated one
U sound depressing souuriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…