Happy New year mdogo wangu mzuriKitu kizito kimekudondokea kichwani alfajiri hii..dah pole sana
Mdogo wako ee😁😁😁safi👊🏿👊🏿Happy New year mdogo wangu mzuri
We ni mdogo kwangu hata usijikuze hapa,,Mdogo wako ee😁😁😁safi👊🏿👊🏿
Happy new year to you too my 💕.uhali gani!unapotea mno
Mimi ni mwanamke huo upuuzi wa mwanamke mwenzangu nisingeweza kuuvumilia kabisa..eti urudi saa kumi na ngapi asubuhi 😀😀 thubutuuu...Duuhh Watu mnauzungu aiseeee, huyo ni Wife ?au demu tu?
Yaan Wife, akuache wewe au wewe na watoto kisa BETHIDEI ? Na arudi 11??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jf inafanya tunaonekana wadogo sana🤣🤣🤣safi dada mkubwa👊🏿👊🏿👊🏿We ni mdogo kwangu hata usijikuze hapa,,
Mbona niko sana tu, majukumu ya kulea shemejio yanizidia mpenzi,,
hatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.Mimi ni mwanamke huo upuuzi wa mwanamke mwenzangu nisingeweza kuuvumilia kabisa..eti urudi saa kumi na ngapi asubuhi [emoji3][emoji3] thubutuuu...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jf inafanya tunaonekana wadogo sana🤣🤣🤣safi dada mkubwa👊🏿👊🏿👊🏿
Au Na wewe unapita kimya kimya kama mimi enzi hizo..huyo shemeji yangu ni mtu mzima mwache azurure huko atarudi tu big Sisy 🥰🥰
Oyoyooooo....sasa kama mama ndie mtunza familia kuna nini hapo😌😌hatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.
Sasa huyo mmoja, aliishi Kijamaa na dem wake akijiita Kim Nana....
Kila siku yaaan kila siku ,kila siku Ndugu yangu, Dem wa kijamaa anatoka SAA nne , anarudi 11 kalewaa kinyama,hoiii ,wenzake wanambeba ,Jamaa anafungua mlango, dem anaingizwa.
Nilikuja gundua, Dem ni muuzaji aliyechangamka, na kwa Bahati mbaya, ndo mlipa Kodi, anamlisha kijamaa, na kukavisha .n.k n.k
Na mume mwema hula nyumbani japo kidogo ili kukuridhisha/kukutoa wasiwasi😁😁Mume km alelewa kama mtoto mdogo wangu, akienda kuzurula akachelewa kurudi yabidi umfate mkifika home namkanya kikubwa nampa msosi akishindwa kuula ndo ntajua alizurulia wapi😜
kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel!