Ogopa Masihara kama haya. KunaJamaa alitaka kumuumiza Mpenzi wake kwa Masihara! Kwa kuwa wako mbali, akamwandikia sms mpenzi wake, "Nimepata Mpenzi mwingine, ww sikutaki tena! Kwahiyo nirudishie Picha yangu niliyokupa", basi yule dada akalia sana! kwa uchungu, akatafuta Picha za Wanaume 50 na kumtumia huyo jamaa na kumweleza "Nimekusahau, hebu tafuta picha yako na unirudishie za Mabwana zangu, Jamaa kwa uchungu akajitia kitanzi" Je mwenye makosa ni nani?