Ogopa ma senior bachelor

Wengi wameshazoea kukaaa wenyewe, kujipikia kujifulia, na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly sasa wewe jisogeze uumie hisia.
Nadhani Dizaini Hii Ndio Inakufaa, Maana Zile Shughuli Zote Za Nyumbani Unazozikwepa Zitakuwa Katika Mikono Salama.
 
Bado Rank Za Upande Wa Pili, Haaahaaahaaaaa!!
 
Ngoja nijitahidi nisivuke Deputy Chief Bachelor
 
kuna jamaa yangu anamika 55 hadi leo anasema "sisi vijana bwana"
 
Wengi wameshazoea kukaaa wenyewe, kujipikia kujifulia, na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly sasa wewe jisogeze uumie hisia.
kwa maboss wakike wanawafaa sana, hata ukisafiri mwezi utamkuta tu kwani kwake kufua kupika sio tatizo, ila hawapendi kushurutishwa,
 
tisha sana!!!!
 
Fact!!!!!
 
Wengi wameshazoea kukaaa wenyewe, kujipikia kujifulia, na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly sasa wewe jisogeze uumie hisia.
Tupoooo!Tupoooo!Ndani ya Bongo maana mademu na mabinti wamezidi mbwembwe ila huwa TUNAWAVUTIA Guest House ili wasituchafulie mashuka.
 
Oh noooo! Sijisemi lakini kumbe huyu mtoa mada kanigusa ee....!!!!

Lakini mbona mimi sinaga sumu kabisa...try me Rebeca 83
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…