Ogopa ma senior bachelor

Ebo kumbe niko senior
 
Ila ubachelor una shida zake pia hasa pale unapokuwa na hamu ya kugegeda na '' kitowewo hakijaingia mstarini "
 
Ila ubachelor una shida zake pia hasa pale unapokuwa na hamu ya kugegeda na '' kitowewo hakijaingia mstarini "

Ukiwa na stock ya kutosha hupati shida, Kuna zile semi_permanent unakuwa nazo mbili tatu hivi hali ikiwa mbaya unavuta unchapa.....
 
Ukiwa na stock ya kutosha hupati shida, Kuna zile semi_permanent unakuwa nazo mbili tatu hivi hali ikiwa mbaya unavuta unchapa.....
Tunaziita "LOOSE BALL"
 
hahahahahahaahaaaaa hiii safi sana.....B G
 
Ngoja nisubiri mwakani ntaingia kwenye hio category then nitaleta mrejesho.
 
Hahaaa
 
na kweli ukijichanganya unaumizwa hisia......ukiingia hapo hakikisha hisia umeziacha kwenu,,,, hapo fikiria kurushana roho.....mpa kitu roho nataka....bassssss....ukishaua keshokutwa uje,,, utajuta...
 
hivyo kumbe mi Senior Bachelor. plans za kuwa Field Marshall zipo sana tu, after all, nina bar kama saba jirani na nyumbani 😎
 
Dah basi kumbe inabidi nijitahidi nisivuke kwenye ngazi ya principal bachelor. Siku nazo zinakatika tu kumbe napanda madaraja bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…