M Mdavire Member Joined Jun 11, 2011 Posts 18 Reaction score 0 Aug 26, 2012 #1 Wana jf hiv hapa dar ofisi za wzara ya elimu ziko wapi?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Aug 26, 2012 #2 Mdavire said: Wana jf hiv hapa dar ofisi za wzara ya elimu ziko wapi? Click to expand... panda basi mpaka posta ya zamani,ukishuka nyoosha kama unakwenda feri,uliza jengo la wizara ya ardhi,hapo kata kushoto,mbele yako utaona ukuta wa Ikulu opposite ndo wizara ya elimu.
Mdavire said: Wana jf hiv hapa dar ofisi za wzara ya elimu ziko wapi? Click to expand... panda basi mpaka posta ya zamani,ukishuka nyoosha kama unakwenda feri,uliza jengo la wizara ya ardhi,hapo kata kushoto,mbele yako utaona ukuta wa Ikulu opposite ndo wizara ya elimu.
M Mdavire Member Joined Jun 11, 2011 Posts 18 Reaction score 0 Aug 26, 2012 Thread starter #3 Wakuu nna matokeo ya mtu ya fm6 lakn hakusome nchin anahtaji yabadilshe yawe ya k Tz ofc gan natakiwa kwenda ili nkayabadlishe.
Wakuu nna matokeo ya mtu ya fm6 lakn hakusome nchin anahtaji yabadilshe yawe ya k Tz ofc gan natakiwa kwenda ili nkayabadlishe.