OFISI ZA VIONGOZI-CUF

Kwani bado CUF ipo?, viongozi wote wawili nadhani wanajua wanalofanya. Seif alinyamanzishwa alipopewa umakamu huko zanzibar. Sijajua Lipumba kulikoni ila alitembelea Ikulu kwa wale wanaokumbuka.
 
Back
Top Bottom