Hii issue ni very serious! Jamani wadosi wanateketeza ajira hapa Tz,tusaidiane kukomesha hali ni mbaya mno kuliko tunavyodhani.narudia tena uhamiaji wanatuangusha mno na pale kuna rushwa za kutisha na wahindi.tunataka hatua za haraka kuzuia na waliopo watimuliwe,simple wapite maofisini now! disaster jamani!Wajameni hata mkurugenzi wa uhamiaji yafaa achunguzwe kwa undani Mzee S...O mengi yanapita ktk mgongo wake kwa rushwa za wadosi
Mkuu siku moja watu wataelewa tulikuwa tunamaanisha nini! Leo nimepita ofc 3 na kukuta haya haya! Wengine nimewahoji binafsi!Sajenti nikusaidie huyu mama anaitwa Mama PAMBE na mkurugenzi ni Shayo
Habarini wandungu, hapa uhamiaji kurasini kitengo cha work permit kuna mama mmoja (MAMA P...E) anatoa sana vibali hovyo kwa kupewa rushwa hasa kwa wenzetu jamii ya waasia kiasi kwamba sasa kila kona wahindi wamejaa na wengine hata qualification hawana, just imagine wanasema ni IT consultant ila ukimkuta ofisini hafanyi kazi hizo anafanya bank reconciliation je ni kweli Watz vyuo vyetu havina uwezo wa kutoa qualified people to do even bank recon, NBAA nao wako wapi na sio hao tu hata kwenye field nyingine eg engineering, wapi ERB?? wapi CRB???, Wizara ya ajira na maendeleo ya vijana wako wapi???.
Kuna kampuni ya wadosi wao ndio wanajifanya maexpart wa kuleta wahindi hapa nchi wakifika pale kila kitu wanampatia mama p, then permit za magumash zinatoka.
Waziri wa wizara husika fanya maamuzi magumu mama p aondolewe pale hafai..
aliye na nyongeza anakaribishwa tafadhali
Uhamiaji wametuchosha na vibali vya magumashi kwa wahindi.tena kuna Wahindi 4 wahasibu wataingia next month kama ma IT expert sijui ERP expert na uhamiaji watatoa vibali! Hao NBAA ndio wapuuzi kabisa wanawapa CPA Kiajabu hawa wahindi while wana vibali vya IT expert! Kwanini work permit isiwe moja ya viambatanisho? Hongo tu! Inakera mno!Yaani ulivyonigusa kaka yaani mie nimuathirika wa hao maexpert wa kutoka india na ufilipino. Kazini kwaku wamewajaza kiasi nimeletewa mmoja nimfundishe uhasibu, then naambiwa ndo bosi wake. Baada ya miezi mitatu ananipa business card eti ni IT expent accountant at execel hajui kutumia yaani naumia kuona wabongo tunalipwa visenti wakati wao wanalipwa dola na permit fake.