doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 38
Wakuu habari,
Naomba kujua ofisi za TPDC zilipo, kama ni Dodoma au Dar?!
Naomba kujua ofisi za TPDC zilipo, kama ni Dodoma au Dar?!
Mbona adress yao inaonyesha dodoma?Dar es salaam, posta!
Nilipiga field pale miaka ile hakika tpdc wanakula keki ya taifa
Wako posta pale Jengo la Benjamin Mkapa...Mbona adress yao inaonyesha dodoma?
Au ofisi zipo dar na dodoma?View attachment 2336096
Vipi PURA hawali keki ya taifa kama tpdc??😂😂😂Dar es salaam, posta!
Nilipiga field pale miaka ile hakika tpdc wanakula keki ya taifa
Wanatufikia sie maofisa wa ikulu?Dar es salaam, posta!
Nilipiga field pale miaka ile hakika tpdc wanakula keki ya taifa
Ushaomba kazi? naona unaanza hatua ya mwisho bila shaka hatua za mwanzo ushapita.Wakuu habari,
Naomba kujua ofisi za TPDC zilipo, kama ni Dodoma au Dar?!