Rose garden kwa mbele kidogo unapita TEA unasonga kwa mbele utawapata. Rose garden ipo pale kama unatokea makumbusho unakuja MWENGE kuna yale mataa ya sayansi kulia kwako utaona kituo cha mafuta na kuna barabara inaelekea kulia kwako ifuate.

Kama unatokea mwengu ukifika sayansi shuka ingia na ile barabara ambayo ipo mkono wako wa kushoto .. Zingatia kama unatoka mwenge.. Wewe nenda nayo tu utapita rosegarden na mbele utaona jengo lao lipo mkono wa kushoto.