Rain- Mvuanatumaini wote mko salama, kama nlivyosema hapo juu, naomba kujua mtandao wa smart hivi bado upo na kama upo ofisi zao zipo wapi kwa hapa dsm? nahitaji rain yao.
Nenda Shoppers Plaza Mikocheni Wana wakala waonatumaini wote mko salama, kama nlivyosema hapo juu, naomba kujua mtandao wa smart hivi bado upo na kama upo ofisi zao zipo wapi kwa hapa dsm? nahitaji rain yao.
Aisee rain?natumaini wote mko salama, kama nlivyosema hapo juu, naomba kujua mtandao wa smart hivi bado upo na kama upo ofisi zao zipo wapi kwa hapa dsm? nahitaji rain yao.
na mimi 2012 nilizionaga hapo hapo, sijui kama bado wapoSina uhakika kama wapo, lkn mara ya mwisho kwenye miaka 2011, ofisi zao zilikuwepo pale mikocheni kwa warioba mkuu.
Uko sahihi mpaka leo wapo pale.Sina uhakika kama wapo, lkn mara ya mwisho kwenye miaka 2011, ofisi zao zilikuwepo pale mikocheni kwa warioba mkuu.