Ofisi za selcom paypoint

Ofisi za selcom paypoint

southern

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
25
Reaction score
0
Wadau, naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za selcom paypoint kwa hapa Dsm.
natanguliza shukurani...
 
zipo barabara ya makunganya jengo la selcom lina rangi nyekundu kama unatokea posta mpya lipo mkono wa kulia..
 
Selcom Wireless Limited
1418/20 Jamhuri Street (opposite Ministry of Science and Communication)
P. O. Box 20656
Dar es Salaam,
Telephone: +255784670921
Email:
05bff8c2e583c6975d4ff1e762f08794297534e9731162c68a9e4aa451dd6298.gif
 
zipo barabara ya makunganya jengo la selcom lina rangi nyekundu kama unatokea posta mpya lipo mkono wa kulia..

ofisi zipo jamhuri street opp na wizara ya sayansi na sio makunganya brooo.
 
Naomba kuuliza mashine yangu ilianguka ikapoteza kumbukumbu zote nifanyeje ili niweze kuitumia kama kawaida kwani kwasasa siwezi kufanya chochote kwenye mashine
 
Naombeni msaada wakalawangu. Anapiga ela yangu ya float kilanikimtumia
 
Back
Top Bottom