Ofisi za SASATEL Zinapatkana wapi kwa hapa dar?

Ofisi za SASATEL Zinapatkana wapi kwa hapa dar?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
kwa kweli nimetumia mitandao karbun yote.....ila sasa nataka kujarbu sasatel......maana nimechoka kwa manyanyaso hasa toka kwa niliowapenda (VODA NA TIGO) nisaidien jaman!!
 
kwa kweli nimetumia mitandao karbun yote.....ila sasa nataka kujarbu sasatel......maana nimechoka kwa manyanyaso hasa toka kwa niliowapenda (VODA NA TIGO) nisaidien jaman!!
Nenda koko bichi, halafu fanya ka unatoka hapo kuelekea polisi ofisaz mess, utaziona kushoto hapo. Ndani yake kuna Helios towers vile vile
 
Nenda koko bichi, halafu fanya ka unatoka hapo kuelekea polisi ofisaz mess, utaziona kushoto hapo. Ndani yake kuna Helios towers vile vile[/QU ahsante mdau wangu itabd nifanye hvyo ila ningepata kariakoo au posta ingekuwa poa zaid ubarkiwe sana
 
sasatel is good, but hawana bundle za bei ndogo....
 
Hivi hii sasatel haijafa tu,si niliskia iko icu
 
Back
Top Bottom