Ofisi za NIDA wilayani bado hali ni tete sana!

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,115
4,801
nimeenda ofisi ya NIDA wilaya ya kibondo mkoani kigoma
Aisee hali ni tete sana kuna foleni kubwa kiasi unaweza kukaa asubuhi hadi jioni hujapata huduma yoyote,

Watu wanasafiri kutoka vijiji vya mbali sana nauli zaidi ya 6000 kwenda na kurudi na bado hawapati huduma!

Aisee watanzania kazi tunayo
 
DISASTER OF NATION
 
Back
Top Bottom