Ofisi za NIDA K/koo

Ofisi za NIDA K/koo

alma gemela

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
842
Reaction score
280
habari za ijumaa

Jamani nauiza office za NIDA kariakoo nimetumiwa sms niende kupiga picha tar 30 na 31 may
Naomba anayezifahamu anielekeze

Wasalamu alma
 
habari za ijumaa

Jamani nauiza office za NIDA kariakoo nimetumiwa sms niende kupiga picha tar 30 na 31 may
Naomba anayezifahamu anielekeze

Wasalamu alma
mkutano ya barabara ya msimbazi na mafia,km unatoka round about unaelekea fire,ukifika big bon ingia mtaa wa mafia mkono wa kushoto,nida ipo nyumba ya pili ama ya tatu mkono wa kushoto
 
mkutano ya barabara ya msimbazi na mafia,km unatoka round about unaelekea fire,ukifika big bon ingia mtaa wa mafia mkono wa kushoto,nida ipo nyumba ya pili ama ya tatu mkono wa kushoto

Asante sana
 
Panda magar ya posta mpya,shuka hapo posta,ukishuka 2,iliko elekea gar nyoosha moja kwa moja kama unaenda fer,mkono wako wa kushoto uwe unasoma mabango,utaona bango la nida
 
Huwezi ukapigiwa simu peke yako wakati zoezi la kupiga picha huwa ni la watu wengi. Hao wtakuwa ni vijana wa usalama wametilia mashaka uraia wako! Lakini nenda tu, ila uache wosia kueleza nani akuangalizie mali zako wakati wa kipindi cha mpito!
 
Acha kutisha watu bana!!lakini umenichekesha sana.Kuna meseji walitumia watu hawa jamaa wa Nida njoo kwa uhojiwe na maafisa wa uhamiaji na wang'oa kucha kwa ajili ya kitmbulisho cha taifa.Ujumbe ulivyokuwa unatisha hata raia halali wamekimbia vitambulisho vyao ni wachache sana wameenda
 
Back
Top Bottom