Nimekuwa shortlisted kwa nafasi za Utumishi. Sasa eneo kwa ajili ya usaili wamesema NECTA, Mbezi Beach One karibu na shule ya St Mary. Hapo kwenye eneo sijaelewa kabisa.
Mkuu unapanda gari mpaka mbezi tangi bovu iwe ni gar la bunju, tegeta au bagamoyo ukifika tangi bovu waambie naenda NECTA kwenye kumb za mitihani nadhan ni elfu mibili tu kwa bodaboda maana kunachanganya na matope wakat wa mvua
kama unatokea mwenge panda gari za tengeta shuka kituo kinaitwa goigi kisha ulizia njia ya kuelekea shule ya st mary ukifika hapo napo ulizia ofisi za necta utakuwa umeshafika maana sio mbali sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.