Ofisi za namna hii zibadilike

Ofisi za namna hii zibadilike

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,451
Reaction score
3,295
Huwa wanajiona sijui akina nani?
Wanajikuta wako busy, ni kupishana tu mbele yako.
IMG_3047.jpeg
 
Nimegundua kinachotusumbua watanzania ni kuwa sadists sana

Maana tuna tabu kavu na kali.

Majungu ndio yamekuwa mtaji.

Kwa hio tutalalamikia chochote kile kilicho na hadh fulani
 
Wanajua kila wanaoingia ofisini kwao wanatumia vistuli walikotoka
 
Kwa kinyozi wangu amevipanga vingi tu sasa abadirike nini hapo mkuu asipange vichwa?
 
hahahaaa,unakuta kitu kimegongwa AC kimeziii kinoma yaani ulipokalia hakitaki uguse pengine,halafu watu wake ndio kwanza wanaitana kwenye kikao muendelee kusubiri,ukitoa simu uingie hata JF upoteze muda unambiwa haturuhusu simu😁😁😁
 
Back
Top Bottom