Luhomano Member Joined May 1, 2020 Posts 57 Reaction score 33 Jun 29, 2020 #1 Wadau habari ya jioni, Naombaaa kuuliza ofisi za kanda za nacte Mbeya ziko karibu na taasisi gani, kwa mfano shule. Maana mi mgeni kidogo hapa Mbeya ila kuna Uzi nilisoma humu nikaambiwa maeneo ya Sokomatola
Wadau habari ya jioni, Naombaaa kuuliza ofisi za kanda za nacte Mbeya ziko karibu na taasisi gani, kwa mfano shule. Maana mi mgeni kidogo hapa Mbeya ila kuna Uzi nilisoma humu nikaambiwa maeneo ya Sokomatola
P p2k Senior Member Joined Sep 15, 2019 Posts 110 Reaction score 263 Jun 29, 2020 #2 stendi kuu kwa nyuma.....ghorofa la chama cha walimu....ofisi zao zipo ghorofa la kwanza....mlango wa kwanza. GOOD LUCK.
stendi kuu kwa nyuma.....ghorofa la chama cha walimu....ofisi zao zipo ghorofa la kwanza....mlango wa kwanza. GOOD LUCK.
Luhomano Member Joined May 1, 2020 Posts 57 Reaction score 33 Jun 29, 2020 Thread starter #3 Mkuu shukran sana